Swahili Phrases
English | Swahili |
---|---|
Welcome | Karibu |
Hello | Habari (inf) Hujambo (sg) Hamjambo (pl) Sijambo (reply) |
How are you? | Habari yako? Habari gani? |
Fine | Mzuri / Nzuri |
What is your name? | Jina lako nani? |
My name is ... | Jina langu ni ... |
Where are you from? | Unatoka wapi? |
I'm from ... | Natoka ... |
Pleased to meet you | Nafurahi kukuona / Nimefurahi kukutana nawe |
Good morning | Habari ya asubuhi |
Good afternoon | Habari ya mchana |
Good evening | Habari ya jioni |
Good night | Usiku mwema / Lala salama (sleep well) |
Good bye | Kwa heri |
Good luck | Kila la kheri! |
Cheers/Good health! | Maisha marefu! Afya! Vifijo! |
Have a nice day | Nakutakia siku njema! |
Bon appetit | Ufurahie chakula chako (sg) Furahieni chakula chenu (pl) |
Bon voyage | Safari njema! |
I understand | Naelewa |
I don't understand | Sielewi |
Please speak more slowly | Tafadhali sema polepole |
Please write it down for me | Waweza kuiandika? |
Do you speak English? | Unazungumza kiingereza? |
Do you speak Swahili? | Unazungumza kiSwahili? |
Yes, a little | Ndiyo, kidogo tu |
Excuse me | Samahani nipishe (to get past) Samahani (to get attention or say sorry) |
How much is this? | Hii ni bei gani? |
Sorry | Samahani |
Please | Tafadhali |
Thank you Response |
Asante / Asante sana (sg) / Asanteni (pl) Asante kushukuru |
No thanks | La asante |
Where's the toilet? | Choo kiko wapi? |
This gentleman/lady willpayforeverything |
Mtu huyu atalipia kila kitu |
Would you like to dance with me? | Tucheze ngoma? Utapenda kudansi? |
I love you | Ninakupenda |
Get well soon | Ugua pole |
How do you say ... in Swahili? | Unasemaje ... kwa Kiswahili? |
Help! Fire! Stop! |
Msaada! Moto! Usifanye hivyo! |
Call the police! | Mwite polisi! |
Merry Christmas and Happy NewYear |
Krismasi Njema / Heri ya krismas Heri ya mwaka mpya |
Happy Easter | Heri kwa sikukuu ya Pasaka |
Happy Birthday | Nakutakia mema kwa siku yako ya kuzaliwa! Siku-kuo ya zaliwa njema! Furaha Ya Siku Ya Kuza Liwa! |
My hover craft is full of eels | Gari langu linaloangama limejaa na mikunga |
One language is never enough | Lugha moja haitoshi |